SALVINA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
SALVINA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
SALVINA bongo movie 2021
Bongo movie 2021 swahili
Latest Bongo Movie
SALVINA ni filamu bora ya kitanzania yenye maudhui mazuri.
Lengo la Filamu hii ni kuelimu jamii juu ya kutokum-bagua mtu kulingana na mapungufu au hali aliyonayo.
Staring:
Michael Kapaya,
Hawa Ismail
Issa Husein Oseck
DIRECTED BY
ZAKAYO MAGULU
CHAULA MELELE
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.
Nimamayak10 nimayako
BONGE LA filamu congratulations wa husika kutoka kapaya great films
Daaah
Oooo umbarikiwe musijicha
Pole dada inarumiza haki pole jinyamazie yako kabisa umetwa nashida
Mtunzi wa story una hitaji pongezi sana pia wahusika mmeweza kuitendea haki story hii the movie is so great haichoshi nzuri ina vutia
Wow like it salvia
Huyo Dada aloigiza kichaa nawiwa kumpongeza hata vocha MUNGU na mjalie zaidi ya hapo NAMPENDA SANAA
Karibu tena kwenye bogvie kwamara tena
Inasikitisha sana na inafundisha mno,kweli hatutakiwi kuwadharau watu tusiowajua.. Big up sana waigizaji wote
Wow,,,nana(Sandra)uko poa,,,but still the team is determined
Yes ! Silali hata
Izate
Movie nzur sana
This is amazing waaahooo love it beautiful teachings to the world
Sandra njo iko wapi ??????
Yan nawafatilia sana kiufupi bando langu mnakula nyie
Yaani bro James kuanzia sasa naanza kufuatilia kazi zako maana mnajua sana kutunga history zenye kusisimua na kuelimisha japo mnatupunja tuu kwenye umaliziaji na kutuwacha njia panda..
Hatar Sana hii move mko pow Guys Mungu awape Uwezo wakutuletea kazi Bora Zaid tuko pamoja na nyie
Eti nijicha mamayake ka ni nimama yako si
Naipenda piya kabisa
Pongezi za dhati kwako salvina uko vzr Dada angu
Lovely
♥️♥️♥️wew jamaa unajua sana
Filamu TamU ila naifwatilia Bado sijaimaliza
Im proudly of being a mother jmn mama anaheshima yake jmn najisikia raha sana sana sana yn
Na hapo geita mmekuwa watalamu wa kuigiza hongereni sana
Nimefuatilia moves za hili kundi yaani kama litaendelea hivi yaani naona tunaelekea level za kanumba
Haki huyu buana anammambo maneno mengi yakuwuwa roho yakeamuke wake
This movie deserves more viewers
Hawutaweza mana nimama pahari umusaididye mumutunze et badatengana wemutu gani haupende mamamukue yako
Wende usirudi munjinga
Good actress salvia,and a big msg to those who don’t show really love to somebody either friend, lover,mom……..
Huyo bwana harusi kaigiza sana hana uhalisia kabisa
movie nzuri tunaomba sehemu ya pili jamani
Salvina kweli we heshima yako marifu
Shetani karisa mama
Mtunzi asant kwa mover hii nimejifinza meng pia hongera kwa washiriki wote hvy tuwapende wazazi wetu na kuwatunza nakupenda saana mama yangu nakuombea maisha marefu
Hongera Sana salvina kwa ujasiri wako movie nxuri xana inafundixha xana mungu awatie nguvu hakika nimechukua point kwenu
Wamubaya kabisa
Wewe ne ni baby mubaya is umarumiza bibi mapmaker
Asante dada is
Congratulations good job. I really enjoy it.. Nani kama mama hapa duniani
Nice movie
Ila Kapaya next time kuwa serious na reactions kulingana na situation
Sehem nyingne unakuwa mnyonge sana
thenk selvina mashaallah
Kapaya nakukubal sana mnatengeneza move zenye ujumbe mzito